Sambaza

Man United Yaanza Tena Kumuwinda Sancho

KLABU ya Manchester United imefungua tena majadiliano ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Borrusia Dortmund, Jadon Sancho.

Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskajaer, tayari ameshasema kuwa anataka kusajili mshambuliaji mmoja kwenye dirisha hili la usajili.

Taarifa ambayo imetolewa na gazeti la Daily Mail, juzi, inasema kuwa United wamefungua tena majadiliano ya kumtaka mshambuliaji huyo aliyefanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga.

Dili la mshambuliaji huyo linatajwa kufi kia pauni milioni 100, huku United wakitajwa kutofi kia dau hilo mara kwa mara ambapo wamepeleka ofa zao Dortmund.Kwa upande wa Dortmund wao wameshasema kuwa wapo tayari kumuachia mchezaji huyo kama dili kamili litapatikana

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey