Sambaza

RECHO: Warembo Wanaingia Kwenye Muziki Kudanga

Msanii wa Bongofleva, Winifrida Josephat maarufuku kama ‘Recho’ amepasua jipu kuwa asilimia kubwa ya warembo wa mjini wanajiingiza kwenye muziki ili wapate nafasi ya kudanga.

Recho ambaye katika miaka ya 2014 alitamba vilivyo na ngoma kali kama vile ‘Kizunguzungu’, Upepo na ‘Mapenzi’, amesema kipindi hiki madanga wengi wamekuwa wagumu kumwaga minoti ndio maana warembo wanaingia kwenye muziki ili waonekane na kuwashawishi vidume hao.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey