Sambaza

Man Fongo: Muziki wa Singeli Unakubalika Pande Zote

Msanii wa muziki wa Singeli,  Amani Fongo maarufu kama Man Fongo amesema wimbi la wasanii wa Bongofleva kuanza kutoa ngoma zenye mahadhi ya singeli, linatokana na ukweli kwamba wimbo wowote wa singeli ukipigwa mahali hakuna mtu anayeweza kukaa chini.

Akipiga stori na +255 Global Radio, Man Fongo amesema muziki huo wa singeli hauwapi shida wasanii wa bongofleva kuimba ndio maana wasanii kama Ibra, Zuchu na wengine wamejitosa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey