Sambaza

Mzee Mpili: Simba Watapigwa Kigoma Goli Zaidi ya Moja

MWANACHAMA wa timu ya soka ya Yanga yenye makazi yake mtaa wa Jangwani, jijini Dar es Salaam, maarufu kwa jina la Haji Omari ‘Mzee Mpili’ ametamba timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya watani wao wa jadi Simba.

Timu hizo zitakutana kwenye mchezo wao wa Fainali ya FA uliopangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Lake Tanganyia mkoani Kigoma, Jula 15, mwaka huu ambapo Mzee Mpili amesema, Simba watafungwa goli zaidi ya moja.

Mzee Mpili ameendeleza tambo zake kufuatia kuwepo kwa hisia za kishirikika miongoni mwa jamii zilizochagizwa na Yanga kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya simba Julai 3,  wa goli moja ambao mzee huyo alitamba mapema kuwa simba wangeangukia pua kwenye gemu hiyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey