Drake Kuachia Album Yake Septemba 3
Rapper mwenye asili ya Canada, Drake anatarajia kuachia album yake mpya itakayoingia sokoni mnamo mwezi Septemba 3, 2021.
Amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa album hiyo ilipewa jina la Certified lover boy itatoka Ijumaa hii, hii itakuwa album ya sita kwa mkali huyo.
Na Bakari Mahundu
Toa Maoni Yako Hapa