Sambaza

Mbwana Samatta Ajiunga na Klabu ya Royal Antwerp kwa Mkopo

Na Bakari Mahundu

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya Soka ya Fenerbahçe ya nchini Uturuki, Mbwana Samatta amejiunga na Klabu ya Royal Antwerp ya nchini Ubelgiji kwa mkopo.

Uhamisho wa Samatta, umegharimu kiasi cha pauni milioni 4.20 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 13 za Kitanzania ambapo mapema hii leo, amesaini mkataba wa mwaka mmoja hadi 2022 kuichezea timu hiyo, huku kukiwa na uwezekano wa kusalia kwenye timu hiyo hadi Juni 30, 2024.

Mbwana ataitumikia klabu hiyo kama kiungo mshambuliaji wa katikati.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey