Sambaza

Mkenya Kuiwakilisha Uingereza Miss World 2021

Muingereza mwenye asili ya Kenya, Rehema Muthamia ameshinda taji la  Miss England 2021 na sasa ataiwakilisha nchi hiyo katika Mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba 16, 2021 katika Mji wa San Juan nchini Puerto Rico.

Ushindi wa Rehema umezua gumzo kubwa duniani kote, ambapo inaelezwa kwamba hii ni mara ya kwanza kwa mtu mwenye asili ya Kenya kutwaa taji hilo na kwenda kupeperusha bendera ya Uingereza Kimataifa.

Mrembo huyo alizaliwa Uingereza na wazazi wenye asili ya nchini Kenya ambapo katika maisha yake ya utoto, aliwahi kuishi na wazazi wake nchini Kenya kabla ya kuhamia nchini Uingereza ambako anaishi na bibi yake katika Mji wa  Luton Bedfordshire.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey