FIREBOY AWAJIA JUU WANAOMUULIZA KUHUSU ALBAMU
Na Bakari Mahundu
Nyota wa muziki kutoka Nigeria, Fireboy DML aliyetikisa na ngoma kama; Vibration na Jealous huku akiwa bado anasumbua na Albamu yake ya Apollo, amewaambia mashabiki wake kuwa hapendezwi na tabia yao ya kumuuliza kuhusu albamu!.
Nyota huyo, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo aliandika; “ I love you but stop asking about album“ ( Nawapenda, ila acheni kuniuliza kuhusu albamu).
Toa Maoni Yako Hapa