DONALD TRUMP ARUDI KWENYE MCHEZO WA NDONDI
Na Bakari Mahundu
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump sambamba na mtoto wake, Donald Trump Jr, watakuwa washehereshaji na wachambuzi wa pambano la ndondi kati ya; Evander Holyfield dhidi ya Vitor Belfort , litakalofanyika Hollywood, Florida.
Pambano hilo litafanyika Disemba, 11 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 20, tokea Marekani kukutwa na shambulio la kigaidi ambalo liliua watu takribani 3000!.
Toa Maoni Yako Hapa