Sambaza

JB AACHANA NA UIGIZAJI RASIMI

Na Bakari Mahundu

Nyota wa filamu nchini Tanzania, Jacob Stephene, almaarufu kama JB , ametangaza leo rasimi kuwa;  Ataachana na uigizaji katika filamu na tamthiliya na kujikita zaidi upande wa uongozaji (Director)  na uzalishaji (Producer)  wa filamu na tamthiliya hizo!.

JB amebainisha hayo , kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ambapo aliandika maneno yaliyosomeka: ‘’Niliwahi kusema napumzika kufanya filamu na nitabaki kwenye tamthilia..lakini sasa Nafikiria kupumzika pia kuigiza na nitabakia nyuma ya camera kama Producer na Director.
Tamthilia yangu ya mwanamuziki series nafikiri itakuwa ndio ya mwisho, kuigiza. Ni matumaini yangu kwenye kipindi chote , tangu 1997 wakati naanza mambo hayo mpaka 2000 wakati naanzisha Jerusalem films umefurahia kazi zangu..lakini nakuahidi huo ni mwanzo tu..mengi mazuri yanakuja nikiwa nyuma ya camera’’
Jacob stephene-Jerusalem films

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey