Sambaza

WOLVERHAMPTON WANDERERS KUANZISHA LEBO YAO YA MUZIKI

Na Bakari Mahundu

Klabu kongwe ya mpira wa miguu ya nchini Uingereza, Wolverhampton, imeonesha nia ya kuanzisha lebo itakayokuwa inafanya kazi za muziki na kusimamia wasanii mbalimbali!

Klabu hiyo ambayo inashiriki michuano ya ligi kuu, nchini humo na ikiwa nafasi ya 16 kwa sasa, itashirikiana na kampuni ya Alternative Distribution Alliance (ADA) katika uendeshaji wa lebo hiyo ambayo imepewa jina la Wolves Records.

Katika historia yake, Wolverhampton imewahi kuchukua mataji makubwa 17, pamoja na mataji 11 ya ligi, Kombe la FA nne na makombe mawili ya Ligi.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey