Sambaza

SAMUEL ETO’O KUWANIA URAIS

Na Bakari Mahundu

Mchezaji mkongwe mwenye asili ya Cameroon, Samuel Eto’o  ametangaza kuwa atagombea Urais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini kwao (FECAFOOT).

Mchezaji huyo wa zamani  kupitia ukurasa wake wa Facebook alieleza sababu za kugombea nafasi hiyo na kusema: Nimeamua kuchukua uamuzi huu kwasababu ya kuipenda Cameroon na kupenda soka letu, Ni wakati wa kujenga upya mpira wetu”, alielezea Samuel Eto’o katika taarifa yake katika Mtandao wa Facebook.

Hii inakuja  siku chache tangu kutangazwa kwa tarehe ya uchaguzi wa Urais wa shirikisho lao la mpira wa nchini mwao ( FECAFOOT) ambao  unatarajiwa kufanyika mwezi Desemba 2021.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey