ANTHONY JOSHUA APIGWA KWA POINT
Na Bakari Mahundu, Dar
Bondia wa Ukraine Oleksander Usyk (34) ameshinda pambano la Ubingwa wa Dunia uzito wa juu (heavyweight) na kutwaa mikanda ya WBA, WBO, IBF na IBO kwa kumpiga kwa point bondia Anthony Joshua (31) wa England katika pambano la round 12 lilochezwa katika uwanja wa Tottenham London England.
Toa Maoni Yako Hapa