Sambaza

WASANII KUMI TANZANIA  WALIOTAZAMWA ZAIDI SEPTEMBA 2021- YOUTUBE

Na Bakari Mahundu, Dar

Mtandao unaohusika na kutoa takwimu za wasanii Bongo, ChartDataTz, umetoa orodha ya wasanii kumi waliotazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube mwezi septamba.

  1. Diamond Platnumz– 38.1 M
  2. Rayvanny– 21.3 M
  3. Harmonize – 13.9 M
  4. Mbosso– 11.3 M
  5. Zuchu– 11.1 M
  6. Alikiba– 6.12 M
  7. Nandy– 4.28 M
  8. Lavalava– 3.93 M
  9. Jux– 3.9 M
  10. Ibraah – 1.86 M

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey