Sambaza

MUIGIZAJI APEWA CHEO CHA KIJESHI

Muigizaji wa Kimarekani, Denzel Washington ametunukiwa cheo cha kijeshi cha Sergeant Major of the Army (SMA) na jeshi la nchi hiyo kufuatia mchango wake wa kujenga nyumba za makazi kwa ajili ya Wanajeshi na Maveterani wa Jeshi la Kimarekani.

Mwaka 2018 Elaine Rogers alitunukiwa cheo hicho cha kijeshi akiwa kama raia wa kawaida, hivyo Denzel Washington anakuwa mtu wa pili kutunukiwa cheo kama hicho na kuwa muigizaji pekee mwenye cheo cha kijeshi.

Denzel ameigiza filamu kama: Equalizer (2014), Flight (2012), The Book of Eli (2010), A Journal of Jourdan (2021) na zingine kibao!

Cc; @bakarimahundu

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey