Sambaza

MBWA TAJIRI ANAUZA MJENGO WAKE KWA BIL 73

Ichukue hii, unaambiwa mbwa tajiri zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Gunther VI anauza mjengo wake wa kifahari uliopo Miami nchini Marekani wenye thamani ya dola milioni 32 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 73.

Utajiri wa mbwa huyo umetokana na urithi ulioachwa na jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la Karlotta Liebenstein, ambaye hakubahatika kupata watoto hivyo akaamua kumrithisha mali zake zote mbwa wake aliyefahamika kwa jina la Gunther III.

Baadaye mwaka 1992 Karlotta Liebenstein alifariki dunia na kuacha mali zake zote kwa mbwa wake ambaye naye aliwarithisha vizazi vyake na hadi sasa mbwa Gunther VI ndiye mrithi aliyebaki wa mali hizo.

Cc; @bakarimahundu

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey