Sambaza

KANYE WEST AFUTA POST ZOTE INSTAGRAM

Rapa anayetikisa na albamu yake ya DONDA, Kanye West amefuta post zake zote katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kufuatia kifo cha rafiki yake kipenzi Virgil Abloh kilichotokea Novemba 28, 2021.

Abloh amefariki kutokana na ugonjwa wa saratani uliomsumbua kwa muda mrefu, Abloh alikuwa mbunifu wa mavazi na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mitindo ya Off-White, hadi sasa Kanye West bado hajazungumza chochote kuhusu kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Cc; @bakarimahundu

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey