Sambaza

FRENCH MONTANA AMFOLLOW MOBETTO INSTAGRAM

Mambo yanazidi kumnyookea mwanamitindo na ‘socialite’ maarufu Bongo, Hamisa Mobetto baada ya staa mkubwa kutoka nchini Marekani mwenye asili ya nchini Morocco, anayefanya poa na ngoma kibao zikiwemo Unforgettable, French Montana kumfollow katika akaunti yake ya Instagram.

Siku kadhaa zilizopita, @hamisamobetto ali-make headline baada ya video zake kusambaa mitandaoni, zikimuonesha akila bata la kufa mtu na Rapa Rick Ross wa nchini Marekani, pande za Dubai!

Unaweza kusema Mobetto ni kama anafunga mwaka kibabe kwa kupata connection za kuwa karibu na mastaa wakubwa duniani na kula bata kama lote!

Cc; @bakarimahundu

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey