Sambaza

RICK ROSS KWENYE MAHUSIANO MAPYA

Rapa na muanzilishi wa Lebo ya Maybach Music Group, Rick Ross anahusishwa kutoka kimapenzi na comedian na rapa mwenzake, Vena Excell almaarufu Pretty Vee kufuatia ukaribu waliokuwa nao wawili hao.

Siku za hivi karibuni, Rick Ross alihusishwa kutoka kimapenzi na mwanamitindo kutoka Tanzania, Hamisa Mobetto baada ya kusambaa kwa vipande vya video na picha zikiwaonesha wawili hao wakila bata la kufa mtu, Dubai.

Taarifa zinaeleza, Rapa Rick Ross  alimsaini Pretty Vee mapema mwaka huu katika lebo yake ya Maybach Music huku akimuahidi mrembo huyo kumsaidia kukua kimuziki, na sasa inaonekana kama wawili hao wamefikia hatua ya kuwa wapenzi.

Cc; @bakarimahundu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey