Sambaza

MASHABIKI WAUNG’ANG’ANIA MGUU WA WIZKID

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, WizKid amejikuta kwenye sintofahamu baada ya mashabiki kuudaka mguu wake wakati akipafomu kwenye show ya Tiwa Savage iliyofanyika Abuja nchini humo.

Katika kipande cha video kinachosambaa mitandaoni kinawaonesha mashabiki wakiudaka na kuung’ang’ania mguu wa staa huyo hadi kumdondosha chini, huku walinzi wakipambana kumnasua Wiz katika tukio hilo.

Huu ni ushabiki damu au ushabiki maandazi?

Cc; @bakarimahundu

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey