R Kelly Akutwa na Virusi vya Gonjwa la Zinaa
Msanii Nguli wa Miondoko ya R n B Duniani R.Kelly, amefanyiwa vipimo vya afya na amekutwa na virusi vya ugonjwa wa zinaa aina ya Herpes. Virusi vya Ugonjwa huo vinasambazwa kwa kufanya mapenzi na mtu aliyeathirika na virusi hivyo bila kinga.
R.Kelly bado anashikiliwa na mamlaka za Serikali nchini Marekani kutokana na mashtaka yake 13 aliyosomewa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wa kike na kuwarekodi.
Toa Maoni Yako Hapa