Kuhusu +255 Global Radio


+255 Global Radio, ni radio namba moja ya mtandaoni nchini Tanzania ambayo inarusha matangazo yake kutokea Sinza Mori, jijini Dar es Salaam. 

+255 Global Radio imejikita zaidi katika kupasha habari za burudani, wasanii na mastaa, michezo na matukio ya kijamii.

+255 Global Radio inapatikana saa 24/7 kupitia simu janja, tablets na computer. 


Our Partners


jerseys wholesale Danton Heinen Jersey