TBWAY Amejibu NYIMBO za WCB Kutopigwa EATV, Amtaja KIMNANA – “SILELEWI” GLOBAL TV imepiga stori na Mtangazaji, T Bway 360, kuhusiana na mpango wake wa kuingia rasmi kwenye muziki ambapo anamsubiria Prodyuza S2kizzy, atakapokuwa na nafasi nzuri waingie studio..