Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha Donna mahaba kama yote Diamond amkiss hadharani wakiwa njian kwenda kigoma pamoja na wasanii wengine kuelekea mjini Kigoma kwenye shoo kubwa ya Diamond akisherekea miaka yake kumi kwenye muziki…