Mwanamuziki kutoka Konde Gang Harmonize ameachia wimbo mpya alioupa jina la Hainistui, ukiwa umebeba ujumbe kwa wanaokata tamaa huku akiwaonya wanaohoji mafanikio ya wenzao kuwa huo ni mwanzo wa uchawi.
?