Baada ya Meshack Fukuta, kutangazwa mshindi wa Bongo Star Search 2019, Global TV imemtafuta Baba mzazi wa Meshack na kuzungumza nae kuhusiana na maisha ya kijana wake huyo…
?