Msanii #RosaRee ametembelea Ofisi za Global Group Zilizopo Sinza Mori kwa Ajili ya Kutambulisha Nyimbo yake Mpya ya #CHAMPION Katika Kipindi cha #BONGO255 kinachoruka Kupitia 255 Global Radio…
Akiwa Global Group Kabla ya Kufanya Exclusive Interview kwenye #255GlobalRadio, Rosa Lee Alitembelea Idara Mbalimbali Ndani ya Kampuni ya Global Group na Kupata Picha na baadhi ya Wafanyakazi na Kupiga Stories Kidogo.
Ili kusikiliza Vipindi vya +255Global Radio, Download App kwa Kubofya HAPA.