Ni binti mdogo wa makamo aliyejikita kwenye kazi ya uana mitindo, Anna Julius, ambaye kupitia Global TV amesimulia historia yake ya kuhuzunisha iliyojaa somo la kutokata tamaa..

Tazama video hii mpaka mwisho ujifunze kitu kupitia Anna, ambaye alitupwa na mama yake mzazi na kuokotwa na kulelewa na baba mlezi ambaye nae alifariki na kumuacha mikononi mwa shangazi katili…

Vipodozi anavyotengeneza Anna ni – Foundation kavu, medium to full coverage. Zina stahimili joto vizuri bila kuchuruzika. Zipo Rangi za aina sita tofauti tofauti za watu weusi na watu weupe pia. Mpigie kupitia namba hii – 071212749851

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey