DC MTATIRO Asimulia Alivyokesha Kumfuata RAIS MAGUFULI- “Sijalala Siku 2”
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameelezea jinsi ambavyo anafurahia utendaji wa kazi chini ya Serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli. Ameelezea jinsi alivyosafiri usiku kucha kuudhuria kikao maalumu kilichoitishwa na Rais Magufuli maalumu kwa wakuu wa mikoa, Wilaya zinazozalisha mazao ya Korosho na Ufuta.