Gigy Money amwagia mama yake matusi na maneno ya shombo baada ya kudai mama yake hamjali mtoto wake kutokana na kuugua pumu. Gigy alimfokea mama yake kwamba hamjali mwanae, Hii imemfanya mama yake kumwambia hana adabu n ahata akifariki asihudhurie mazishi yake…