Kwenye #BONGO255 Tulikuwa na Exclusive Interview na Izzo Business Aliyetembelea Studio za #255GLOBALRADIO kutambulisha Wimbo wake Mpya wa ‘MIDADI’ Aliomshirikisha Aslay.
Akipiga Story Kuhusu Muziki wake na Biashara, #IZZOBUSINESS Amefunguka Kuhusu Biashara nyingine Aifanyayo Ambayo humpa Pesa . Ili kusikiliza Vipindi vya +255Global Radio, Download App kwa Kubofya HAPA.