Usiku wa Desemba 31, meneja wa mwanamuziki Diamond, Babu Tale, amesheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa stejini kwenye shoo ya msanii wake ya kutimiza miaka kumi kwenye muziki iliyofanyika mkoani Kigoma, ambapo aligeuzwa samaki kwa kumwagiwa maji na kukata keki stejini.