Mwanamuziki Diamond platnumz, amezungumza na waandishi wa havari kwa mara ya kwanza kuhusiana na kitendo cha Rais Magufuli, kumpigia simu akiwa katikati ya shoo yake aliyoifanya Mkoani Kigoma usiku wa Desemba 31 alipokuwa akifanya maadhimisho ya miaka yake 10 kwenye muziki…