Miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli yanayofanywa na serikali yanatafsiriwa kama elimu tosha ya kuwafundisha watu namna Taifa linatakiwa kufanya huku likiacha dira tunapoelekea kama Nchi. Diwani wa CHADEMA Kutoka Arumeru ameelezea namna ambavyo yeye binafsi alivyo nufaika na Elimu inayotolewa na Mwalimu Rais Dkt Magufuli katika kuongoza kwake…