Katika kipindi cha Katambuga, cha Global Radio, kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Mohamed Seif, al maarufu kwa jina la ‘Mudy K’, amesimulia kisa chake cha kusikitisha ambapo mama yake Mkubwa alitumia jina lake kukopa Milioni 100 na kumuachia msala unaomsumbua hadi sasa ukitishiwa kufungwa na serikali ya JPM… Fuatilia Video hadi mwisho ujue nini kilichotokea..