Ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliyekuwa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, anayeitwa Seth Bosco, afariki dunia na kuzikwa jijini Dar.. Global TV imemtembelea mama Kanumba, nyumbani kwake kumjulia hali yake pamoja na kuzungumza nae kuhusu maisha yake mapya akiwa mpweke baada ya kufiwa na watoto wake wote wawili…