Katika kipindi cha Bongo255 ndani ya Global Radio leo Juni 27, Mwanamuziki, Marioo ametambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Raha.
Marioo ambaye ampeta aumaarufu mkubwa kupitia nyimbo zake kama vile, Dar Kugumu, Inatosha pamoja na Chibonge ambayo ameshirikishwa na Abbah Process.
Mbali na kuwa mkali wa kuimba na kulalamika hasa kwenye nyimbo za mapenzi, Marioo pia ni mkali wa kuandika na ameshawahi kuwaandikia wanamuziki kadhaa nyimbo akiwemo Nandy, Nampa Papa ya Gigy, na nyingine nyingi.