Jionee maisha ya nyumbani kwa msanii wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhani, al maarufu kwa jina la Tunda Man, mkali kutoka lebo ya Tip Top Connection. Global TV Online imefika Mpaka Home kwake na kupiga naye stori akiwa na watoto wake wazuri…
?