Mshindi wa shindalo la Bongo star search, Meshack Fukuta, mshiriki kutoka Mbeya akiwa na mshiriki mwenzie wa BSS aliyekuwa mshindi wa tatu katika shindano hilo, wamezungumzia maisha yao kabla na baada ya kushiriki shindano hilo ,ambapo amesema kitu ambacho watu wengi hawakijua ni kuwa alishawahi kushiriki shindano hilo zaidi ya mara moja na hakufanikiwa…