Msanii wa Hip Hop Rosa Ree wakati akipiga story katika kipindi cha Bongo 255 Global Radio ameelezea namna ambavyo amekuwa akifanya ubunifu katika utungaji wa ngoma zake, azungumzia mpango wa Chama cha Democratic nchini Marekani wa kumng,oa Trump madarakani…