MZEE Aliyepigana VITA Kuu ya DUNIA Amlilia JPM – “Nisaidie Nipate Haki Zangu” Ni Mzee mwenye umri wa miaka 99 aliyewahi kupigana vita kuu ya pili ya dunia anayefahamika kwa jina la, Malangile Shimba, amezungumza na waandishi wa habari jinsi alivyoweza kupigana katika vita hiyo na kumlilia rais wa sasa, Dkt John Magufuli, amsaidie kupata haki zake..