Mzee JOHN KITIME Apata KIGUGUMIZI – “WADADA KUMSUMBUA, SIFANYI SHOO BAA”
Katika kipindi cha Katambuga, Mwanamuziki mkongwe wa dansi, John Kitime, amezungumzia anguko za muziki huo pamoja na tabia ya wanamuziki wa dansi kunyimana ushirikiano.
#GLOBALRADIO