NINI afunguka KUPIGWA na NAY wa MITEGO – “SIJARUDIANA NAE”
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nini, anayetamba hivi sasa na kava yake ya wimbo wa Shaa unaoitwa Shoga, amepiga stori na Bongo 255 ya Global Radio, na kufunguka kuhusiana na kazi zake na uhusiano wake na Nay wa Mitego.