NOMA! UWOYA AMMWAGIA MOBETO PESA, UKUMBI MZIMA WASHANGAA… Mwanamitindo na mwanamuziki, Hamisa Mobeto, amefanya birthday yake usiku wa kuamkia leo na kuwaalika mastaa wachache akiwemo Irene Uwoya, Irene Paul na wengine..