Katika Exclusive Interview na Rap ‘Goddess’ Rosa Ree ndani ya #255GLOBALRADIO, #ROSAREE Amefunguka Kuhusu Mahusiano yake na Navy Kenzo, Ambao ni Aika na Nahreel, wana Mahusiano gani hasa baada ya yeye Kuondoka The Industry.
Pia Amezungumzia Kuhusu Msanii gani anayemkubali huku akiweka wazi kuwa Anamhusudu sana Ruby kwa sababu alizoziweka wazi, Pia sambamba na Hilo Alikuja Kutambulisha Wimbo wake mpya Unaoitwa CHAMPION…