Mwanamke mwenye umbo tata sana kutoka Arusha mwanadada, Tina, amefunguka kuhusu maisha yake na changamoto anazopata kutokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume na kudhihirisha kuwa kunawakati anasababisha foleni barabarani kutokana na utata wa umbo lake