?
WIZKID na TIWA SAVAGE Wakifanya SOUND CHECK Viwanja vya POSTA Wanamuziki Wizkid na Tiwa Savage, kutoka Nigeria wamewasili Bongo mchana wa Novemba 09, kwa ajili ya kufanya shoo kwenye tamasha la Wasafi Festival jijini Dar..