Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 12, anazindua kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa..
Hafla ya uzinduzi huo inafanyika katika ukumbi wa mkutano wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar na kuhuduuriwa na marais wastaafu, Dkt Jakaya Kikwete na Al Hassan Mwinyi….
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)