Msanii maarufu wa muziki wa Injili, Joel Lwaga, amesema hayupo tayari kushirikishwa kuimba nyimbo za kidunia, ila anaweza kuimba nyimbo za kijamii na kizalendo. Amesema kuwa Januari hii anatarajia kuachia nyimbo mpya sita kwa mpigo! Ameongea EXCLUSIVELY na +255 Global Radio leo Jumapili Januari 5, 2020.