Mchamabaji maarufi mitandaoni, Mzee wa Ngenga; wakati akipiga story na +255 Global Radio katika kipindi cha Katambuga ameelezea sakata zima lililosababisha kutekwa ambapo pia ameelezea maisha yake ya mahusiano ambapo amesisitiza kuwa yeye binafsi hajawahi kumtongoza mwanamke ila anatongozwa na wanawake.